"Wewe si kama wake wengine wa viongozi" - Rais Magufuli akimsifia Mama Maria Nyerere

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=BME4UN15jIY



Duration: 2:44
69,702 views
270


Rais Magufuli ammwagia sifa mke wa Rais wa Kwanza wa Tanzania Hayati Mwl. Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere, asema hafanani na wake wengine wa viongozi. “Wako wengine hata wakiolewa tu na mwendesha daladala anabadilika”.

Ni katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Septemba 6 kwenye Uwanja wa Mwenge wilayani Butiama, mkoani Mara.







Tags:
Magufuli
Butiama
ziara
Rais Magufuli
Mama Maria
Nyerere
Mwalimu Nyerere
mke
mama
wake
kiongozi
mkutano wa hadhara
Musoma
Azam TV