MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 5/9/2018

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=G8yB4RrwpMY



Duration: 17:53
4,192 views
15


Taifa Stars kuelekea Uganda kuwavaa 'The Cranes' huku nahodha Mbwana Samatta akiwataka watanzania kuangalia 'kufuzu' kuliko 'kuitolea macho' Uganda peke yake.
Na Simba na Yanga kuwapa burudani mashabiki wikiendi hii.
Kwa hayo na mengine mengi ungana na Ahmed Abdallah katika Mshikemshike Viwanjani







Tags:
Taifa Stars
Emmanuel Amunike
Mbwana Samatta
Soka
AfconQualifiers
TheCranesvTaifaStars
MshikemshikeViwanjani
Simba SC
Yanga SC
Haji Manara
Dismas Ten