Juma Nyosso: Niliwahi kusimamishwa mara mbili bila kujua kosa langu (MAKALA - TPL 2018/19)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=TzicBpVlIeY



Duration: 10:40
6,801 views
35


Beki wa Kagera Sugar Juma Said Nyosso amezungumzia maisha yake mapya ya soka ndani ya timu hiyo huku akikumbushia maisha yake ya miaka saba ndani ya klabu ya Simba.

Nyosso amesema akiwa Simba aliwahi kusimamishwa kwa vipini viwili tofauti bila kuambiwa kosa lake, na hadi leo hajui.

Juma Nyosso alikuwa katika mahojiano maalum ya makala za msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambazo huruka kupitia Azam Sports 2, na ameeleza tofautia tofauti iliyopo kati ya timu yake ya zamani Simba na timu yake ya sasa, Kagera Sugar.

Nyosso ameeleza starehe anayoipenda mbali na soka, huku akieleza atakachofanya baada ya kustaafu soka.

Beki huyo wa zamani wa Taifa Stars amesema ana familia ya watoto wawili na mke mmoja.




Other Videos By Azam TV


2018-09-06TMA yatahadharisha menejimenti za maafa kujipanga kupunguza maafa
2018-09-06Makonda akagua miradi ya ujenzi wa miundombinu Dar es Salaam
2018-09-06Xi Jinping aipa Tanzania Bil. 90
2018-09-06HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA BUTIAMA - 06/09/2018
2018-09-06Mwalimu afariki dunia akisimamia mitihani ya darasa la saba
2018-09-06Mashabiki wa soka Musoma ‘wazikataa’ Simba na Yanga (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-06Lipuli FC: Lengo letu msimu huu ni nafasi tatu za juu (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-06Tulifukia mbuzi katikati ya uwanja – Mchezaji wa zamani Singida United (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-06Jerry Tegete ‘akiwakaanga’ wachezaji wenzake wa Kagera Sugar (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-06Jaffo 'atema cheche' ubadhirifu wa bilioni 2 Nyang'hwale
2018-09-06Juma Nyosso: Niliwahi kusimamishwa mara mbili bila kujua kosa langu (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-06Akamatwa kwa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza na kuuza silaha
2018-09-06Wananchi walia na harufu kali kutoka kiwanda cha maziwa
2018-09-06Mabua ya mahindi yawa ‘lulu’ Kilimanjaro
2018-09-06Njombe wabuni mbinu ya nyuki chakula na maji
2018-09-06Rushwa 'yamtibua' DC Sabaya
2018-09-06Wananchi kuanza kujipima wenyewe VVU, sheria kufanyiwa marekebisho
2018-09-06JPM: Stiegler’s Gorge ikikamilika itaitwa 'Nyerere Gorge', kama ni kosa, potelea mbali
2018-09-06Rais Magufuli ‘amkaanga’ hadharani Mkurungenzi Butiama kisa mamilioni ya ujenzi wa hospitali
2018-09-06"Wewe si kama wake wengine wa viongozi" - Rais Magufuli akimsifia Mama Maria Nyerere
2018-09-06MAGAZETI AZAM TV 6/09/2018 - MORNING TRUMPET



Tags:
wachezaji
michezo
ligi
Ligi Kuu Tanzania Bara
Azam TV
soka
Azam Sports
Philip Cyprian
Tanzania Premier League
Nyosso
Nyoso
Juma Nyosso
Kagera Sugar
Simba