Jerry Tegete ‘akiwakaanga’ wachezaji wenzake wa Kagera Sugar (MAKALA - TPL 2018/19)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=bflCeWW8QCo



Duration: 21:19
6,661 views
31


Mshambuliaji mpya wa timu ya Kagera Sugar, Jerry Tegete amechukua jukumu la kuwa mtangazaji na kuwafanyia mahijiano baadhi ya wachezaji wenzake wa Kagera, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi.

Baadhi ya wachezaji waliokumbwa na maswali ya Jerry Tegete ni Edward Christopher, Japhet Makalai, Omary Mponda na Paul Nguwai.

Wachezaji hao wamezungumzia kwa ujumla walivyojipanga na Ligi Kuu msimu huu, huku wakiongelea mazingira yalivyo ndani ya timu hiyo pamoja na maisha yao binafsi nje ya soka, bila kusahau kilichowafanya wayumbe msimu uliopita kiasi cha kupambania kutoshukia daraja.

Tegete amewagawa wachezaji hao katika makundi mawili, moja likiwa ni wachezaji wapya waliosajili msimu huu na kundi lingine ni wachezaji wenyeji waliokuwepo msimu uliopita.

Katika mahojiano haya, mshambuliaji Edward Christopher ameeleza sababu za kuifunga Simba mara kwa mara tangu aachane na klabu hiyo huku akitaja chanzo cha baadhi ya majina ya utani ambayo amekuwa akipewa.

Tazama mahojiano haya.




Other Videos By Azam TV


2018-09-06Wanaume kwenda Sokoni Zanzibar....ni mapenzi au utamaduni?
2018-09-06Je, matumizi ya vipaza sauti vya wamachinga ni hatari iliyojificha?
2018-09-06TMA yatahadharisha menejimenti za maafa kujipanga kupunguza maafa
2018-09-06Makonda akagua miradi ya ujenzi wa miundombinu Dar es Salaam
2018-09-06Xi Jinping aipa Tanzania Bil. 90
2018-09-06HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA BUTIAMA - 06/09/2018
2018-09-06Mwalimu afariki dunia akisimamia mitihani ya darasa la saba
2018-09-06Mashabiki wa soka Musoma ‘wazikataa’ Simba na Yanga (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-06Lipuli FC: Lengo letu msimu huu ni nafasi tatu za juu (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-06Tulifukia mbuzi katikati ya uwanja – Mchezaji wa zamani Singida United (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-06Jerry Tegete ‘akiwakaanga’ wachezaji wenzake wa Kagera Sugar (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-06Jaffo 'atema cheche' ubadhirifu wa bilioni 2 Nyang'hwale
2018-09-06Juma Nyosso: Niliwahi kusimamishwa mara mbili bila kujua kosa langu (MAKALA - TPL 2018/19)
2018-09-06Akamatwa kwa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza na kuuza silaha
2018-09-06Wananchi walia na harufu kali kutoka kiwanda cha maziwa
2018-09-06Mabua ya mahindi yawa ‘lulu’ Kilimanjaro
2018-09-06Njombe wabuni mbinu ya nyuki chakula na maji
2018-09-06Rushwa 'yamtibua' DC Sabaya
2018-09-06Wananchi kuanza kujipima wenyewe VVU, sheria kufanyiwa marekebisho
2018-09-06JPM: Stiegler’s Gorge ikikamilika itaitwa 'Nyerere Gorge', kama ni kosa, potelea mbali
2018-09-06Rais Magufuli ‘amkaanga’ hadharani Mkurungenzi Butiama kisa mamilioni ya ujenzi wa hospitali



Tags:
wachezaji
michezo
ligi
Ligi Kuu Tanzania Bara
Azam TV
soka
Azam Sports
Philip Cyprian
Tanzania Premier League