Mashabiki wa soka Musoma ‘wazikataa’ Simba na Yanga (MAKALA - TPL 2018/19)

Channel:
Subscribers:
2,640,000
Published on ● Video Link: https://www.youtube.com/watch?v=M5EBR7ujdCQ



Duration: 11:55
1,892 views
14


Mashabiki wa timu ya Biashara United ya mkoani Mara ambayo ni timu mpya kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara wamesema wataiunga mkono timu yao, na kamwe hawatakuwa na mapenzi na timu kubwa nchini za Simba na Yanga.

Mashabiki hao ambao walikuwa wakizungumza kwenye mahojiano maalum ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi 2018/19 wamejiapiza kuwa timu hizo kubwa zikienda Musoma kucheza na Biashara United, lazima zifungwe.

Mashabiki hao pia wameeleza furaha yao kwa timu yao kupanda daraja, jambo ambalo litawasiadia kupata burudani ya soka waliyokuwa wameikosa kwa kipindi kirefu.

Baadhi ya mashabiki waliozungumza kwenye Makala hii ni pamoja na Suleiman Nachuma pamoja na janja Sidori.







Tags:
wachezaji
michezo
ligi
Ligi Kuu Tanzania Bara
Azam TV
soka
Azam Sports
Philip Cyprian
Tanzania Premier League
Biashara United
Chama la wazawa
Musoma
Biashara
mara
Yanga
Simba